Marejesho
Namna ya kutekeleza Marejesho
Mikopo yote itakatwa kupitia mishahara ya wakopaji isipokuwa kama mkopaji anataka kumaliza deni upesi ataenda benki kulipa deni lake na ataleta slip ya benki kwenye ofisi ya chama ili aandikiwe risiti
ADHABU KWA WANAOSHINDWA KUREJESHA MIKOPO
Muda wa ucheleweshaji Tozo la adhabu
Siku 8 - 14 0.5% ya kiasi kilichocheleweshwa
Siku 15 - 21 1.0% ya ya kiasi kilichocheleweshwa
Siku 22 - 30 2.0% ya kiasi kilichocheleweshwa
Siku 31 - 45 4.0% ya kiasi kilichocheleweshwa kwa kila siku 30
Siku 46 - na kuendelea 10.0% ya kiasi kilichocheleweshwa kwa kila siku 30

