Huduma zetu

Ushauri

Tunatoa ushauri kwa wanachama na wasio wanachama kuhusu masuala mbalimbali ya kifedha na namna ya kunufaika na huduma zetu.

Wastaafu

Mwanachama anayetarajia kustaafu kazi kwa kigezo cha umri au kwa hiari akiwa bado mwanachama atajaza na kuiwasilisha katika Ofisi za chama fomu maalum kuomba kuendelea na uanachama miezi miwili kabla ya kustaafu.

Copyright © 2019 Bandarini SACCOS LTD . All Rights Reserved 
Powered by Webnode Cookies
Create your website for free! This website was made with Webnode. Create your own for free today! Get started