Akiba
Manufaa ya kuweka akiba
- Kwa matumizi ya baadaye ya mwenye akiba
- Kujenga mtaji wa kukopeshana miongoni mwa wanachama hivyo kuepuka mikopo yenye masharti magumu toka kwenye taasisi zinazokopesha SACCOS
- Kupata faida juu ya akiba
- Kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba ya baadaye.
- Kusaidia kudhibiti mkondo mzuri wa uchumi (mfumuko wa bei).
Mifumo ya uwekaji akiba
- Kupitia makato ya mishahara ya kila mwezi
- Kupitia "bankers orders" kadri itakavyokubaliwa na pande husika
- Kulipia kwenye "account" ya Bandarini SACCOS iliyopo benki.

